Otariidae
Simba-bahari | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Jike la sili-manyoya wa Afrika Kusini (Arctocephalus p. pusillus)
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 7, spishi 16:
|
Otariidae ni familia ya wanyama wa bahari wenye masikio ya nje.
Spishi
- Familia Otariidae
- Jenasi Arctocephalus
- Sili-manyoya wa Antakitiki, A. gazella (Antarctic Fur Seal)
- Sili-manyoya wa Gwadalupe, A. townsendi (Guadalupe Fur Seal)
- Sili-manyoya wa Juan Fernandez, A. philippii (Juan Fernández Fur Seal)
- Sili-manyoya wa Galapagos, A. galapagoensis (Galápagos Fur Seal)
- Sili-manyoya Kahawia, A. pusillus (Brown Fur Seal)
- Sili-manyoya wa Afrika Kusini, A. pusillus pusillus (South African Fur Seal)
- Sili-manyoya wa Australia, A. pusillus doriferus (Australian Fur Seal)
- Sili-manyoya wa Nyuzilandi, A. forsteri (Australasian Fur Seal)
- Sili-manyoya wa Antakitiki ya Chini, A. tropicalis (Subantarctic Fur Seal)
- Sili-manyoya wa Amerika ya Kusini, A. australis (South American Fur Seal)
- Jenasi Callorhinus
- Dubu-bahari, C. ursinus (Northern Fur Seal)
- Jenasi Eumetopias
- Simba-bahari Kaskazi, E. jubatus (Steller Sea Lion)
- Jenasi Neophoca
- Simba-bahari wa Australia, N. cinerea (Australian Sea Lion)
- Jenasi Otaria
- Simba-bahari wa Amerika ya Kusini, O. flavescens (South American Sea Lion)
- Jenasi Phocarctos
- Simba-bahari wa Nyuzilandi, P. hookeri (New Zealand Sea Lion)
- Jenasi Zalophus
- Simba-bahari wa Kalifornia, Z. californianus (California Sea Lion)
- †Simba-bahari wa Japani, Z. japonicus (Japanese Sea Lion) - imekwisha sasa (miaka 1970)
- Simba-bahari wa Galapagos, Z. wollebaeki (Galápagos Sea Lion)
- Jenasi Arctocephalus
Picha
-
Sili-manyoya wa Amerika ya Kusini
-
Sili-manyoya wa Nyuzilandi
-
Sili-manyoya wa Galapagos
-
Sili-manyoya wa Antakitiki
-
Sili-manyoya wa Juan Fernandez
-
Sili-manyoya wa Australia
-
Sili-manyoya wa Gwadalupe
-
Sili-manyoya wa Antakitiki ya Chini
-
Dubu-bahari
-
Simba-bahari kaskazi
-
Simba-bahari wa Australia
-
Simba-bahari wa Amerika ya Kusini
-
Simba-bahari wa Nyuzilandi
-
Simba-bahari wa Kalifornia
-
Simba-bahari wa Galapagos
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Otariidae kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |