Papa Alexander VII

Papa Aleksanda VII.

Papa Alexander VII (13 Februari 159922 Mei 1667) alikuwa Papa kuanzia tarehe 7/18 Aprili 1655 hadi kifo chake[1]. Alitokea Siena, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Fabio Chigi.

Alimfuata Papa Inosenti X akafuatwa na Papa Klementi IX.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.