Papa Lando

Papa Lando.

Papa Lando alikuwa Papa kuanzia mwezi wa Julai/Novemba 913 hadi kifo chake mnamo Machi 914[1]. Alitokea Sabina, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Lando. Alikuwa Papa wa mwisho (kabla ya Papa Fransisko) aliyetumia jina la kipapa lisilowahi kutumiwa na Papa yeyote.

Alimfuata Papa Anastasio III akafuatwa na Papa Yohane X.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Lando kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.