Suni ni wanyamapori wadogo sana wa jenasiNeotragus na Nesotragus katika familia Bovidae. Wanyama hawa ni wadogo kabisa wa Bovidae (kimo sm 25–40 begani, urefu sm 40–60 na uzito kg 2.5–5.5). Wanatokea misitu minyevu na mikavu ya Afrika kusini kwa Sahara yenye kichaka kizito. Dume ana pembe fupi kwa urefu wa sm 3.5 hadi 13 kuhusiana spishi. Rangi yao ni kahawianyekundu lakini nyeupe upande wa chini. Suni hula majani, macho ya maua, machipukizi, nyoga, manyasi na mimea.
Zamani spishi zote ziliainishwa katika jenasi Neotragus lakini uchunguzi wa ADN ulifunua kwamba spishi hizi hazina nasaba kwa karibu. Suni mdogo labda ana nasaba na paa (Cephalophinae) huku spishi mbili nyingine zikiwa na nasaba na swala (Antilopinae).
Nesotragus moschatus, Suni au Suni Mashariki (Suni)
Nesotragus m. kirchenpaueri
Nesotragus m. livingstonianus
Nesotragus m. moschatus
Nesotragus m. zuluensis
Picha
Jike la suni mashariki
Jike la suni mdogo
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Suni kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Indian Spotted Chevrotain (M. indica) · Yellow-striped Chevrotain (M. kathygre) · Sri Lankan Spotted Chevrotain (M. meminna)
Tragulus
Java Mouse-deer (T. javanicus) · Lesser Mouse-deer (T. kanchil) · Greater Mouse-deer (T. napu) · Philippine Mouse-deer (T. nigricans) · Vietnam Mouse-deer (T. versicolor) · Williamson's Mouse-deer (T. williamsoni)
Kuro (K. ellipsiprymnus) ·Mraye (K. kob) · Lechwe kusi (K. leche) · Lechwe wa Nili (K. megaceros) · Lechwe wa Upemba (K. anselli) ·Sheshe (K. vardonii)
Swala wa Cuvier (G. cuvieri) · Swala-jangwa (G. dorcas) · Swala mhindi (G. bennettii) · Swala-milima (G. gazella) · · Swala mwajemi (G. subgutturosa)Swala wa Neumann (G. erlangeri) · Swala wa Sahara (G. leptoceros) · Swala wa Saudia (G. saudiya) · Swala wa Speke (G. spekei)
Palawan Bearded Pig (S. ahoenobarbus) · Bearded Pig (S. barbatus) · Indo-chinese Warty Pig (S. bucculentus) · Visayan Warty Pig (S. cebifrons) · Celebes Warty Pig (S. celebensis) · Flores Warty Pig (S. heureni) · Oliver's Warty Pig (S. oliveri) · Philippine Warty Pig (S. philippensis) · Nguruwe-mwitu wa Ulaya (S. scrofa) · Timor Warty Pig (S. timoriensis) · Javan Pig (S. verrucosus)