Swala
Kwa swala kama ibada ya Kiislamu, taz. Swalah .
Swala
Swala tomi(Eudorcas thomsonii )
Uainishaji wa kisayansi
Himaya:
Animalia (Wanyama)
Faila:
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli:
Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda:
Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda:
Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia:
Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe ) J. E. Gray , 1821
Ngazi za chini
Nusufamilia 3, jenasi 12:
Aepycerotinae J. E. Gray, 1872
Antilopinae J. E. Gray, 1821
Ammodorcas Thomas, 1891
Antidorcas Sundevall, 1847
Antilope Pallas, 1766
Dorcatragus Noack, 1894
Eudorcas Fitzinger, 1869
Gazella de Blainville, 1816
Litocranius Kohl, 1886
Nanger Lataste, 1885
Procapra Hodgson, 1846
Saiga J. E. Gray, 1843
Pantholopinae Hodgson, 1834
Swala ni wanyama walao nyasi katika nusufamilia Antilopinae , Aepycerotinae na Pantholopinae za familia Bovidae. Hupatikana katika maeneo yenye nyasi fupi fupi na vichaka vifupi fupi hasa kwenye maeneo mengi ya hifadhi katika Afrika. Spishi nyingine hukimbia kilometa 80 kwa saa na zina uwezo wa kuruka mita 7 hadi 8 juu akiwa kwenye kasi. Rangi yao ni ya mchanga na nyeupe kidogo kwenye koromeo na sehemu ya chini ya mkia. Maadui yao wakubwa ni simba , chatu na chui .
Spishi
Nusufamilia Aepycerotinae
Nusufamilia Antilopinae
Ammodorcas clarkei , Swala Dibatag (Dibatag au Clarke's gazelle)
Antidorcas marsupialis , Swala Mrukaji (Springbok )
Antilope cervicapra , Swala Mweusi (Blackbuck )
Dorcatragus megalotis , Swala Beira (Beira )
Eudorcas albonotata , Swala wa Mongalla (Mongalla gazelle )
Eudorcas rufifrons , Swala Paji-jekundu (Red-fronted gazelle )
Eudorcas rufina , Swala Mwekundu (Red gazelle ) – imekwisha sasa
Eudorcas thomsonii , Swala Tomi au Swala Lala (Thomson's gazelle )
Gazella arabica , Swala Arabu (Arabian gazelle ) – imekwisha sasa
Gazella bennettii , Swala Mhindi (Chinkara au Indian Gazelle)
Gazella cuvieri , Swala wa Cuvier (Cuvier's Gazelle )
Gazella dorcas , Swala-jangwa (Dorcas au Ariel Gazelle)
Gazella erlangeri , Swala wa Neumann (Neumann's Gazelle )
Gazella gazella , Swala-milima (Mountain Gazelle )
Gazella leptoceros , Swala Pembe-nyembamba (Rhim Gazelle )
Gazella saudiya , Swala wa Saudia (Saudi Gazelle ) – imekwisha sasa
Gazella spekei , Swala wa Speke (Speke's Gazelle )
Gazella subgutturosa , Swala Mwajemi (Goitered Gazelle )
Litocranius walleri , Swala Twiga (Gerenuk au Waller's au Giraffe-necked Gazelle)
Nanger dama , Swala Dama (Dama Gazelle )
Nanger granti , Swala Granti (Grant's Gazelle )
Nanger soemmerringii , Swala wa Soemmerring (Soemmerring's Gazelle )
Procapra gutturosa , Swala wa Mongolia (Mongolian Gazelle )
Procapra picticaudata , Swala Goa (Goa )
Procapra przewalskii , Swala wa Przewalski (Przewalski's Gazelle )
Saiga tatarica , Swala Saiga (Saiga )
Nusufamilia Pantholopinae
Picha
Swala pala
Kundi la Swala
Swala mrukaji
Swala mweusi
Swala paji-jekundu
Swala mhindi
Swala wa Cuvier
Swala-jangwa
Swala-milima
Swala wa Sahara
Swala mwajemi
Swala twiga
Swala dama
Swala granti
Swala wa Soemmerring
Swala Goa
Saiga
Pembe za Swala
Swala na Nyumbu
Spishi za Artiodactyla zilizo hai hadi sasa
Nusuoda Ruminantia
Antilocapridae Antilocapra Pronghorn (A. americana)
Giraffidae Okapia Giraffa Twiga kaskazi (G. camelopardalis) · Twiga kusi (G. giraffa) · Twiga Somali (G. reticulata) · Twiga Masai (G. tippelskirchi)
Moschidae Moschus Himalayan Musk Deer (M. chrysogaster) · Siberian Musk Deer (M. moschiferus) · Dwarf Musk Deer (M. berezovskii) · Black Musk Deer (M. fuscus)
Tragulidae Hyemoschus Water Chevrotain (H. aquaticus)
Moschiola Indian Spotted Chevrotain (M. indica) · Yellow-striped Chevrotain (M. kathygre) · Sri Lankan Spotted Chevrotain (M. meminna)
Tragulus Java Mouse-deer (T. javanicus) · Lesser Mouse-deer (T. kanchil) · Greater Mouse-deer (T. napu) · Philippine Mouse-deer (T. nigricans) · Vietnam Mouse-deer (T. versicolor) · Williamson's Mouse-deer (T. williamsoni)
Cervidae Familia hii kubwa iorodheshwa chini
Bovidae Familia hii kubwa iorodheshwa chini
Cervinae Muntiacus Indian Muntjac (M. muntjak) · Reeves's Muntjac (M. reevesi) · Hairy-fronted Muntjac (M. crinifrons) · Fea's Muntjac (M. feae) · Bornean Yellow Muntjac (M. atherodes) · Roosevelt's muntjac (M. rooseveltorum) · Gongshan muntjac (M. gongshanensis) · Giant Muntjac (M. vuquangensis) · Truong Son Muntjac (M. truongsonensis) · Leaf muntjac (M. putaoensis)
Elaphodus Tufted deer (E. cephalophus)
Dama Fallow Deer (D. dama) · Persian fallow deer (D. mesopotamica)
Axis Chital (A. axis)
Rucervus Barasingha (R. duvaucelii)
Panolia Eld's Deer (P. eldii)
Elaphurus Père David's deer (E. davidianus)
Hyelaphus Hog deer (H. porcinus) · Calamian deer (H. calamianensis) · Bawean deer (H. kuhlii)
Rusa Sambar deer (R. unicolor) · Rusa deer (R. timorensis) · Philippine sambar (R. mariannus) · Philippine spotted deer (R. alfredi)
Cervus
Capreolinae Alces Hydropotes Water deer (H. inermis)
Capreolus Roe Deer (C. capreolus) · Siberian Roe Deer (C. pygargus)
Rangifer Hippocamelus Taruca (H. antisensis) · South Andean Deer (H. bisulcus)
Mazama Red Brocket (M. americana) · Small Red Brocket (M. bororo) · Merida Brocket (M. bricenii) · Dwarf Brocket (M. chunyi) · Gray Brocket (M. gouazoubira) · Pygmy Brocket (M. nana) · Amazonian Brown Brocket (M. nemorivaga) · Yucatan Brown Brocket (M. pandora) · Little Red Brocket (M. rufina) · Central American Red Brocket (M. temama)
Ozotoceros Pampas deer (O. bezoarticus)
Blastocerus Marsh Deer (B. dichotomus)
Pudu Northern Pudu (P. mephistophiles) · Pudú (P. pudu)
Odocoileus White-tailed deer (O. virginianus) · Mule deer (O. hemionus)
Ammotragus Kondoo wa Barbari (A. lervia)
Arabitragus Mbuzi Arabu (A. jayakari)
Budorcas Kondoo wa Himalaya (B. taxicolor)
Capra Mbuzi-mwitu (C. aegagrus) · West Caucasian Tur (C. caucasia) · East Caucasian Tur (C. cylindricornis) · Markhor (C. falconeri) · Alpine Ibex (C. ibex) · Mbuzi-milima Nubi (C. nubiana) · Spanish Ibex (C. pyrenaica) · Siberian Ibex (C. sibirica) · Mbuzi-milima Habeshi (C. walie)
Capricornis Japanese serow (C. crispus) · Taiwan serow (C. swinhoei) · Sumatran serow (C. sumatraensis) · Mainland serow (C. milneedwardsii) · Red serow (C. rubidusi) · Himalayan serow (C. thar)
Hemitragus Mbuzi wa Himalaya (H. jemlahicus)
Naemorhedus Red Goral (N. baileyi) · Long-tailed Goral (N. caudatus) · Himalayan Goral (N. goral) · Chinese Goral (N. griseus)
Nilgiritragus Nilgiri Tahr (N. hylocrius)
Oreamnos Mountain goat (O. americanus)
Ovibos Ovis Argali (O. ammon)
· Kondoo-kaya (O. aries ) · Bighorn Sheep (O. canadensis)
· Dall Sheep (O. dalli)
· Mouflon (O. musimon)
· Snow sheep (O. nivicola)
· Urial (O. orientalis)
Pseudois Bharal (P. nayaur) · Dwarf Blue Sheep (P. schaeferi)
Rupicapra Pyrenean Chamois (R. pyrenaica) · Chamois (R. rupicapra)
Familia Bovidae (nusufamilia Bovinae )
Boselaphini Bovini Strepsicerotini
Antilopini Ammodorcas Swala dibatag (A. clarkei)
Antidorcas Antilope Swala mweusi (A. cervicapra)
Eudorcas Swala paji-jekundu (E. rufifrons) · Swala tomi (E. thomsonii)
Gazella Swala wa Cuvier (G. cuvieri) · Swala-jangwa (G. dorcas) · Swala mhindi (G. bennettii) · Swala-milima (G. gazella) · · Swala mwajemi (G. subgutturosa)Swala wa Neumann (G. erlangeri) · Swala wa Sahara (G. leptoceros) · Swala wa Saudia (G. saudiya) · Swala wa Speke (G. spekei)
Nanger Swala dama (G. dama) · Swala wa Grant (G. granti) · Swala wa Soemmerring (G. soemmerringii) ·
Litocranius Swala twiga (L. walleri)
Procapra Swala wa Mongolia (P. gutturosa) · Swala goa (P. picticaudata) · Swala wa Przewalski (P. przewalskii)
Saigini Saiga Swala saiga (S. tatarica)
Neotragini Dorcatragus Beira (D. megalotis)
Madoqua Digidigi fedha (M. piacentinii) · Digidigi wa Günther (M. guentheri) · Digidigi wa Kirk (M. kirkii) · Digidigi wa Salt (M. saltiana)
Neotragus Suni wa Bates (N. batesi) · Suni mashariki (N. moschatus) · Suni mdogo (N. pygmaeus)
Oreotragus Ourebia Raphicerus Dondoo kusi (R. melanotis) · Dondoo-nyika (R. campestris) · Dondoo wa Sharpe (R. sharpei)
Nusuoda Suina
Suidae Babyrousa Buru Babirusa (B. babyrussa) · North Sulawesi Babirusa (B. celebensis) · Togian Babirusa (B. togeanensis)
Hylochoerus Phacochoerus Ngiri-jangwa (P. aethiopicus) · Ngiri wa kawaida (P. africanus)
Porcula Pygmy Hog (P. salvania)
Potamochoerus Nguruwe-mwitu (P. larvatus) · Nguruwe mwekundu (P. porcus)
Sus Palawan Bearded Pig (S. ahoenobarbus) · Bearded Pig (S. barbatus) · Indo-chinese Warty Pig (S. bucculentus) · Visayan Warty Pig (S. cebifrons) · Celebes Warty Pig (S. celebensis) · Flores Warty Pig (S. heureni) · Oliver's Warty Pig (S. oliveri) · Philippine Warty Pig (S. philippensis) · Nguruwe-mwitu wa Ulaya (S. scrofa) · Timor Warty Pig (S. timoriensis) · Javan Pig (S. verrucosus)
Tayassuidae Tayassu White-lipped Peccary (T. pecari)
Catagonus Chacoan Peccary (C. wagneri)
Pecari Collared Peccary (P. tajacu) · Giant Peccary (P. maximus)
Cetartiodactyla (Divisheni bila tabaka, juu ya Artiodactyla)
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc .
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu Swala kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
The article is a derivative under the Creative Commons Attribution-ShareAlike License .
A link to the original article can be found here and attribution parties here
By using this site, you agree to the Terms of Use . Gpedia ® is a registered trademark of the Cyberajah Pty Ltd