Victor-Auguste-Isidor Deschamps
Victor Augustin Isidore Dechamps (6 Desemba 1810, huko Melle – 29 Septemba 1883, huko Mechelen) alikuwa Askofu Mkuu wa Mechelen, Kardinali, na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Ubelgiji.[1]
Marejeo
- ↑ "Victor Augustin Isidore Dechamps". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |