"When You're Looking Like That" ni wimbo kutoka kwa kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Westlife. Wimbo huu ulitolewa nchini Australia, Kusini Mashariki mwa bara la Asia, Latin Amerika na katika baadhi ya maeneo ya bara la Ulaya. Mwezi wa nne wa mwaka 2008, kundi la muziki la Ujerumani pia liliweza kuimba wimbo huu.
Mtiririko wa nyimbo
When You're Looking Like That (Single Remix) - 3:52
Con Lo Bien Que Te (When You're Looking Like That - Single Remix) - 3:52