Yaren

Yaren (zamani iliitwa pia "Makwa") ni tarafa kwenye nchi ya kisiwani cha Nauru yenye nafasi ya mji mkuu. Eneo lake ni 1.5 km² kuna wakazi 1,100 (2003).
Kisheria hakuna mji mkuu nchini Nauru lakini karibu majengo yote ya serikali pamoja na bunge yapo Yaren.
Picha za Yaren
-
Geti ya Bunge la Nauru
-
Bunge la Nauru mjini Yaren
-
Ikulu ya serikali ya Nauru