10 Machi
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 10 Machi ni siku ya 69 ya mwaka (ya 70 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 296.
Matukio
Waliozaliwa
- 1503 - Kaisari Ferdinand I wa Ujerumani
- 1923 - Val Fitch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1980
- 1957 - Osama bin Laden, mwanzilishi na kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Qaida
- 1971 - Timbaland, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1983 - Lashinda Demus, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani
- 1991 - Nyasha Mutsauri, mwanamitindo kutoka Zimbabwe
Waliofariki
- 483 - Mtakatifu Papa Simplicio
- 1889 - Yohannes IV, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1942 - William Henry Bragg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kayo na Aleksanda, Vikta wa Afrika, Makari wa Yerusalemu, Papa Simplicio, Droktovei, Atala wa Bobbio, John Ogilvie, Maria Eujenia wa Yesu n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Ilihifadhiwa 19 Agosti 2014 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |