16 Oktoba
Sep - Oktoba - Nov | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Oktoba ni siku ya 289 ya mwaka (ya 290 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 76.
Matukio
- 1311 - Mwanzo wa Mtaguso wa Vienne
Waliozaliwa
- 1842 - Mtakatifu Antonino Fantosati, O.F.M., askofu Mkatoliki kutoka Italia, mmisionari na mfiadini nchini Uchina
- 1863 - Austen Chamberlain, mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1925
- 1869 - Claude H. Van Tyne, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1888 - Eugene O'Neill, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1936
- 1918 - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 1927 - Gunter Grass, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1999
- 1975 - Christophe Maé, mwimbaji kutoka Ufaransa
Waliofariki
- 1591 - Papa Gregori XIV
- 1634 - Mtakatifu Magdalena wa Nagasaki, mtawa wa kike mfiadini nchini Japani
- 1755 - Mtakatifu Jeradi Majella, bradha wa shirika la Mkombozi kutoka Italia
- 1973 - Gene Krupa, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1990 - Art Blakey, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1997 - James Michener, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948
Sikukuu
Wakristowengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Edwiga wa Andechs, Margareta Maria Alacoque, Lonjino, Elifi, Martiniani, Saturiani na wenzao, Amando na Juniano, Galus, Lulo wa Mainz, Betrandi wa Comminges, Jeradi Majella n.k.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |