Auvergne-Rhône-Alpes

Auvergne-Rhône-Alpes
Nchi Bendera ya Ufaransa Ufaransa
Mji mkuu Lyon
Eneo
 - Jumla 69,711 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 7.757.595
2013
Tovuti:  http://www.auvergnerhonealpes.eu/
Ziwa la Annecy lililopo nadni ya mkoa wa Auvergne-Rhône-Alpes, Ufaransa

Auvergne-Rhône-Alpes ni jina la mkoa uliopo nchini Ufaransa.

Mji mkuu wake ni Lyon.

Wilaya

  1. Ain (01)
  2. Allier (03)
  3. Ardèche (07)
  4. Cantal (15)
  5. Drôme (26)
  6. Isère (38)
  7. Loire (42)
  8. Haute-Loire (42)
  9. Puy-de-Dôme (63)
  10. Rhône + Jiji la Lyon (69)
  11. Savoie (73)
  12. Haute-Savoie (74)

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Auvergne-Rhône-Alpes kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.