John Quincy Adams
John Quincy Adams | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1825 – Machi 4, 1829 | |
Makamu wa Rais | John C. Calhoun |
mtangulizi | James Monroe |
aliyemfuata | Andrew Jackson |
tarehe ya kuzaliwa | Braintree, Massachusetts, British America (sasa Quincy, Massachusetts, Marekani) | Julai 11, 1767
tarehe ya kufa | 23 Februari 1848 (umri 80) Washington, D.C., Marekani |
mahali pa kuzikiwa | United First Parish Church |
chama | Federalist (1792–1808) Democratic-Republican (1809–1828) National Republican (1828–1830) Anti-Masonic (1830–1834) Whig (1834–1848) |
watoto | 4 |
mhitimu wa | Harvard University (Bachelor of Arts, Master of Arts) |
signature |
John Quincy Adams (11 Julai 1767 – 23 Februari 1848) alikuwa Rais wa sita wa Marekani kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1829. Alikuwa mwana wa John Adams, Rais wa pili. Kaimu Rais wake alikuwa John C. Calhoun.
Tazama pia
Tanbihi
}
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Quincy Adams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |