Kikinza

Alama ya kikinza kadiri ya IEC.

Kikinza (au: kikinzani, kutoka kitenzi "kukinza"; pia: resista kutoka Kiingereza: "resistor") ni kifaa cha kielektroni ambacho huongeza uwezo wa sakiti ya umeme kusimamisha mkondo wa umeme usiendelee kupita.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.