Kisoninke

Enezi la Kisoninke

Kisoninke ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali, Senegal, Gambia, Mauritania na Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wasoninke. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kisoninke nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 700,000. Pia kuna wasemaji 250,000 nchini Senegal, 156,000 nchini Gambia, 39,000 nchini Mauritania na 5000 nchini Guinea-Bisau. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisoninke iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisoninke kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.