Mkoa wa Tanganyika
Mkoa wa Tanganyika | |
Mahali pa Mkoa wa Tanganyika katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 05°56′S 29°12′E / 5.933°S 29.200°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 6 |
Mji mkuu | Kalemie |
Serikali | |
- Gouverneur | |
Eneo | |
- Jumla | 134,940 km² |
Idadi ya wakazi (2015) | |
- Wakazi kwa ujumla | 3,062,000 |
Mkoa wa Tanganyika ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Uko upande wa Mashariki wa nchi likipakana na nchi ya Tanzania na Ziwa la Tanganyika.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 3,062,000.
Mji wake mkuu ni Kalemie.
Angalia Pia
- Katanga
- Kuhusu asili ya jina "Tanganyika" ona hapa: Tanganyika_(ziwa)#Jina
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tanganyika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |