Wilaya ya Oyam

Wilaya ya Oyam | |
Majiranukta: 02°14′N 32°23′E / 2.233°N 32.383°E | |
Nchi | ![]() |
---|---|
mji mkuu | Oyam |
Idadi ya wakazi (2010 Makadirio) | |
- Wakazi kwa ujumla | 343,000 |
Tovuti: http://www.oyam.go.ug |
Wilaya ya Oyam ni wilaya moja ya Mkoa wa Kaskazini, Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 343,000.