Wilaya ya Kagadi
Wilaya ya Kagadi | |
Majiranukta: 00°56′N 30°49′E / 0.933°N 30.817°E | |
Nchi | ![]() |
---|---|
mji mkuu | Kagadi |
Tovuti: http://www.kagadi.go.ug |
Wilaya ya Kagadi ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi, Uganda iliyoanzishwa tarehe 1 Julai 2016 kutokana na wilaya ya Kibaale.