Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru
Nguruwe-kaya ni kundi la wanyama wanaofugwa kote duniani. Kibiolojia ni nususpishi ya Sus scrofa. Jumla ya nguruwe duniani hukadiriwa kuwa bilioni mbili.
Nguruwe hufikia uzito wa kilogramu 40–350. Kichwa kinaishia katika mdomo mrefu unaofanana kidogo na mwiro wa tembo ingawa ni mfupi.
Wataalamu wanaona asili ya nguruwe kwenye mabara ya Afrika, Asia na Ulaya. Spishi nyingi ziko Asia.
Nguruwe ni mlawangi mmaana yake anakula kila kitu: majani, manyasi, matunda, wadudu, ndege au wanyama wengine.
Kwa kawaida nguruwe anafugwa kwa nyama yake lakini pia ngozi ina matumizi yake. Nyama ya nguruwe ni nyama inayoliwa sana Ulaya na pia Asia ya mashariki na kusini-mashariki. Katika tamaduni kadhaa nguruwe na nyama yake hutazamiwa kuwa najisi, kwa mfano katika Uyahudi na Uislamu.
Nguruwe ni mnyama mwenye akili sana akilingana na mbwa. Nguruwe
ni mnyama mwenye pua kubwa, macho madogo na mkia mdogo unaokuwa umejikunja na mfupi, uliopinda au ulionyooka. Huwa ana mwili mkubwa, miguu mifupi na nywele zilizojiviringisha. Ana kwato nne kwa kila mguu, huku mbili kubwa za mbele zikitumika kutembelea.
Kuzaa huwezekana msimu wote wa mwaka katika ukanda wa tropiki, lakini hasa misimu ya mvua. Nguruwe jike huweza kubeba mimba akiwa na miezi 8 mpaka 18. Kisha ataanza kupata hedhi kwa muda wa siku 21 kama hajashika mimba.
Nguruwe dume huweza kushiriki masuala ya uzazi katika umri wa miezi 8 mpaka 10. Kwa uzao mmoja, wanaweza kupatikana watoto 6 mpaka 12, waitwao vibwagala. Kisha kuachishwa kunyonya, familia mbili au tatu zinaweza kuishi pamoja mpaka msimu mwingine wa kujamiiana.
Nguruwe hawana tezi za jasho, hivyo nguruwe hujipoza kwa kutumia maji au matope wakati wa joto kali. Pia hutumia matope kama njia ya kujikinga na kuunguzwa na jua. Zaidi, matope huzuia wasiathiriwe na inzi na vijidudu.
Nguruwe wanaofugwa nyumbani hukuzwa na wakulima kwa ajili ya nyama na ngozi. Nywele zao ngumu hutumika pia kwa kutengeneza brashi. Baadhi ya aina za nguruwe, kama vile wale wa Asia, "pot-bellied pig", huwekwa kama wanyama wa ndani wapenzi.
Nguruwe ni 'Omnivora', yaani wanakula nyama na majani. Nguruwe hula mabaki na hujulikana kwa kula chakula chochote, kujumuisha wadudu, minyoo, magamba ya miti, takataka na hata nguruwe wengine. Wakiwa mwituni hula majani, nyasi, mizizi, matunda na maua. Kwa nadra, nguruwe wakiwa wanafugwa, huweza kula watoto wao kama wakichukizwa sana.
Nguruwe wa kawaida wana kichwa kikubwa chenye pua ndefu iliyoimarishwa kwa mfupa mgumu na mduara wa tishu ngumu mbele. Pua hiyo hutumika kuchimba udongo ili kutafuta chakula na ni ogani yenye uwezo mkubwa wa kuhisi.
Nguruwe huwa na seti kubwa ya meno 44.
Meno ya nyuma yametoholewa kusaga, na huendelea kukua na huchongwa na misuguano ya meno yenyewe.
Nguruwe wanaochungwa mwituni kwa msaada wa wachungaji, wana uwezo mkubwa wa kunusa, na hutumika kutafuta uyoga katika nchi nyingi za Ulaya.
Nguruwe wa nyumbani hutambulika kwa jina la kisayansi 'Sus scrofa'. Walianza kufugwa karibu miaka 5,000 mpaka 7,000 iliyopita. Walizaliwa na rangi ya kahawia na kuendelea kuwa wa kijivu. Meno chonge ya juu huwa kama ndovu za kipekee zilizopinda nje na kuelekea juu. Urefu wa nguruwe huweza kufikia milimita 900 – 1800 na uzito wa kg 50 – 350.
Nguruwe wana akili na huweza kufundishwa kazi na mbinu ndogondogo. Hivi karibuni, wamefurahia kupewa nafasi kama wanyama kipenzi wa ndani na, hasa wale nguruwe wadogo.
Pia kwa baadhi ya imani za kidini humchukulia nguruwe kama haramu, wakati wengine hufurahia nyama yake na kudai ndiyo nyama yenye ladha maridadi kuliko wanyama wengine.
|
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nguruwe-kaya kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|
Spishi za Artiodactyla zilizo hai hadi sasa |
---|
|
Nusuoda Ruminantia |
---|
Antilocapridae | Antilocapra | Pronghorn (A. americana) |
---|
|
---|
Giraffidae | Okapia | |
---|
Giraffa | Twiga kaskazi (G. camelopardalis) · Twiga kusi (G. giraffa) · Twiga Somali (G. reticulata) · Twiga Masai (G. tippelskirchi) |
---|
|
---|
Moschidae | Moschus | Himalayan Musk Deer (M. chrysogaster) · Siberian Musk Deer (M. moschiferus) · Dwarf Musk Deer (M. berezovskii) · Black Musk Deer (M. fuscus) |
---|
|
---|
Tragulidae | Hyemoschus | Water Chevrotain (H. aquaticus) |
---|
Moschiola | Indian Spotted Chevrotain (M. indica) · Yellow-striped Chevrotain (M. kathygre) · Sri Lankan Spotted Chevrotain (M. meminna) |
---|
Tragulus | Java Mouse-deer (T. javanicus) · Lesser Mouse-deer (T. kanchil) · Greater Mouse-deer (T. napu) · Philippine Mouse-deer (T. nigricans) · Vietnam Mouse-deer (T. versicolor) · Williamson's Mouse-deer (T. williamsoni) |
---|
|
---|
Cervidae | Familia hii kubwa iorodheshwa chini |
---|
Bovidae | Familia hii kubwa iorodheshwa chini |
---|
|
|
|
---|
Cervinae | Muntiacus | Indian Muntjac (M. muntjak) · Reeves's Muntjac (M. reevesi) · Hairy-fronted Muntjac (M. crinifrons) · Fea's Muntjac (M. feae) · Bornean Yellow Muntjac (M. atherodes) · Roosevelt's muntjac (M. rooseveltorum) · Gongshan muntjac (M. gongshanensis) · Giant Muntjac (M. vuquangensis) · Truong Son Muntjac (M. truongsonensis) · Leaf muntjac (M. putaoensis) |
---|
Elaphodus | Tufted deer (E. cephalophus) |
---|
Dama | Fallow Deer (D. dama) · Persian fallow deer (D. mesopotamica) |
---|
Axis | Chital (A. axis) |
---|
Rucervus | Barasingha (R. duvaucelii) |
---|
Panolia | Eld's Deer (P. eldii) |
---|
Elaphurus | Père David's deer (E. davidianus) |
---|
Hyelaphus | Hog deer (H. porcinus) · Calamian deer (H. calamianensis) · Bawean deer (H. kuhlii) |
---|
Rusa | Sambar deer (R. unicolor) · Rusa deer (R. timorensis) · Philippine sambar (R. mariannus) · Philippine spotted deer (R. alfredi) |
---|
Cervus | |
---|
|
---|
Capreolinae | Alces | |
---|
Hydropotes | Water deer (H. inermis) |
---|
Capreolus | Roe Deer (C. capreolus) · Siberian Roe Deer (C. pygargus) |
---|
Rangifer | |
---|
Hippocamelus | Taruca (H. antisensis) · South Andean Deer (H. bisulcus) |
---|
Mazama | Red Brocket (M. americana) · Small Red Brocket (M. bororo) · Merida Brocket (M. bricenii) · Dwarf Brocket (M. chunyi) · Gray Brocket (M. gouazoubira) · Pygmy Brocket (M. nana) · Amazonian Brown Brocket (M. nemorivaga) · Yucatan Brown Brocket (M. pandora) · Little Red Brocket (M. rufina) · Central American Red Brocket (M. temama) |
---|
Ozotoceros | Pampas deer (O. bezoarticus) |
---|
Blastocerus | Marsh Deer (B. dichotomus) |
---|
Pudu | Northern Pudu (P. mephistophiles) · Pudú (P. pudu) |
---|
Odocoileus | White-tailed deer (O. virginianus) · Mule deer (O. hemionus) |
---|
|
---|
|
|
|
|
---|
Ammotragus | Kondoo wa Barbari (A. lervia) |
---|
Arabitragus | Mbuzi Arabu (A. jayakari) |
---|
Budorcas | Kondoo wa Himalaya (B. taxicolor) |
---|
Capra | Mbuzi-mwitu (C. aegagrus) · West Caucasian Tur (C. caucasia) · East Caucasian Tur (C. cylindricornis) · Markhor (C. falconeri) · Alpine Ibex (C. ibex) · Mbuzi-milima Nubi (C. nubiana) · Spanish Ibex (C. pyrenaica) · Siberian Ibex (C. sibirica) · Mbuzi-milima Habeshi (C. walie) |
---|
Capricornis | Japanese serow (C. crispus) · Taiwan serow (C. swinhoei) · Sumatran serow (C. sumatraensis) · Mainland serow (C. milneedwardsii) · Red serow (C. rubidusi) · Himalayan serow (C. thar) |
---|
Hemitragus | Mbuzi wa Himalaya (H. jemlahicus) |
---|
Naemorhedus | Red Goral (N. baileyi) · Long-tailed Goral (N. caudatus) · Himalayan Goral (N. goral) · Chinese Goral (N. griseus) |
---|
Nilgiritragus | Nilgiri Tahr (N. hylocrius) |
---|
Oreamnos | Mountain goat (O. americanus) |
---|
Ovibos | |
---|
Ovis | Argali (O. ammon) · Kondoo-kaya (O. aries) · Bighorn Sheep (O. canadensis) · Dall Sheep (O. dalli) · Mouflon (O. musimon) · Snow sheep (O. nivicola) · Urial (O. orientalis) |
---|
Pseudois | Bharal (P. nayaur) · Dwarf Blue Sheep (P. schaeferi) |
---|
Rupicapra | Pyrenean Chamois (R. pyrenaica) · Chamois (R. rupicapra) |
---|
|
|
Familia Bovidae (nusufamilia Bovinae) |
---|
Boselaphini | |
---|
Bovini | |
---|
Strepsicerotini | |
---|
|
|
|
---|
Antilopini | Ammodorcas | Swala dibatag (A. clarkei) |
---|
Antidorcas | Swala mrukaji (A. marsupialis) |
---|
Antilope | Swala mweusi (A. cervicapra) |
---|
Eudorcas | Swala paji-jekundu (E. rufifrons) · Swala tomi (E. thomsonii) |
---|
Gazella | Swala wa Cuvier (G. cuvieri) · Swala-jangwa (G. dorcas) · Swala mhindi (G. bennettii) · Swala-milima (G. gazella) · · Swala mwajemi (G. subgutturosa)Swala wa Neumann (G. erlangeri) · Swala wa Sahara (G. leptoceros) · Swala wa Saudia (G. saudiya) · Swala wa Speke (G. spekei) |
---|
Nanger | Swala dama (G. dama) · Swala wa Grant (G. granti) · Swala wa Soemmerring (G. soemmerringii) · |
---|
Litocranius | Swala twiga (L. walleri) |
---|
Procapra | Swala wa Mongolia (P. gutturosa) · Swala goa (P. picticaudata) · Swala wa Przewalski (P. przewalskii) |
---|
|
---|
Saigini | Saiga | Swala saiga (S. tatarica) |
---|
|
---|
Neotragini | Dorcatragus | Beira (D. megalotis) |
---|
Madoqua | Digidigi fedha (M. piacentinii) · Digidigi wa Günther (M. guentheri) · Digidigi wa Kirk (M. kirkii) · Digidigi wa Salt (M. saltiana) |
---|
Neotragus | Suni wa Bates (N. batesi) · Suni mashariki (N. moschatus) · Suni mdogo (N. pygmaeus) |
---|
Oreotragus | |
---|
Ourebia | |
---|
Raphicerus | Dondoo kusi (R. melanotis) · Dondoo-nyika (R. campestris) · Dondoo wa Sharpe (R. sharpei) |
---|
|
---|
|
|
Nusuoda Suina |
---|
Suidae | Babyrousa | Buru Babirusa (B. babyrussa) · North Sulawesi Babirusa (B. celebensis) · Togian Babirusa (B. togeanensis) |
---|
Hylochoerus | |
---|
Phacochoerus | Ngiri-jangwa (P. aethiopicus) · Ngiri wa kawaida (P. africanus) |
---|
Porcula | Pygmy Hog (P. salvania) |
---|
Potamochoerus | Nguruwe-mwitu (P. larvatus) · Nguruwe mwekundu (P. porcus) |
---|
Sus | Palawan Bearded Pig (S. ahoenobarbus) · Bearded Pig (S. barbatus) · Indo-chinese Warty Pig (S. bucculentus) · Visayan Warty Pig (S. cebifrons) · Celebes Warty Pig (S. celebensis) · Flores Warty Pig (S. heureni) · Oliver's Warty Pig (S. oliveri) · Philippine Warty Pig (S. philippensis) · Nguruwe-mwitu wa Ulaya (S. scrofa) · Timor Warty Pig (S. timoriensis) · Javan Pig (S. verrucosus) |
---|
|
---|
Tayassuidae | Tayassu | White-lipped Peccary (T. pecari) |
---|
Catagonus | Chacoan Peccary (C. wagneri) |
---|
Pecari | Collared Peccary (P. tajacu) · Giant Peccary (P. maximus) |
---|
|
---|
|
|
|
Cetartiodactyla (Divisheni bila tabaka, juu ya Artiodactyla) |
---|
|
|
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.