6 Septemba
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Septemba ni siku ya 249 ya mwaka (ya 250 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 116.
Matukio
Waliozaliwa
- 1860 - Jane Addams, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931
- 1876 - John Macleod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1923
- 1892 - Edward Appleton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1947
- 1906 - Luis Leloir, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1970
- 1939 - Susumu Tonegawa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1987
- 1943 - Richard Roberts, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1993
- 1958 - Jeff Foxworthy, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1987 - Marie Fuema, mwanamitindo kutoka Senegal
Waliofariki
- 952 - Suzaku, mfalme mkuu wa Japani (930-946)
- 972 - Papa Yohane XIII
- 1985 - Rodney Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1972)
- 1998 - Akira Kurosawa, mwongozaji wa filamu kutoka Japani
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Zekaria, Onesiforo, Donasyani, Presidi na wenzao, Eleuteri wa Spoleto, Kanoaldi, Bega wa Cumbria, Magnus wa Fuessen, Betrandi wa Garrigues n.k.
Viungo vya nje
- BBC: On This Day Archived 9 Machi 2008 at the Wayback Machine.
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |