Mkoa wa Agnéby-Tiassa
auto
Mkoa wa Agnéby-Tiassa | |
Mahali pa Mkoa wa Agneby-Tiassa (kijani) katika Cote d'Ivoire |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lagunes |
Serikali[1] | |
- Prefect | Anatole-Privat Bako Digbe |
- Rais wa Baraza | Nando Martin M'Bolo |
Eneo[2] | |
- Jumla | 9,080 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 606,852 |
GMT | (UTC+0) |
Tovuti: agneby-tiassa.ci |
Mkoa wa Agneby-Tiassa (kwa Kifaransa: Région de l'Agnéby-Tiassa) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika kusini-mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Agboville. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 606,852.
Agneby-Tiassa kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:
Marejeo
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Agnéby-Tiassa" Ilihifadhiwa 5 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.