Mkoa wa Indénié-Djuablin
Mkoa wa Indénié-Djuablin | |
Mahali pa Mkoa wa Indénié-Djuablin (kijani) katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Comoé |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Comoé |
Serikali[1] | |
- Prefect | Fadi Ouattara, |
- Rais wa Baraza | Abinan Kouakou Pascal |
Eneo[2] | |
- Jumla | 8,000 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 560,432 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Indénié-Djuablin (kwa Kifaransa: Région de l’ Indénié-Djuablin) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Mashariki ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Abengourou. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 560,432.
Indénié-Djuablin kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:
Marejeo
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Indénié-Djuablin" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.