Vietnam Airlines ni kampuni ya ndege ya taifa ya Vietnam yenye makao makuu jijini Hanoi. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1996 baada ya kuvunjika kwa Tong cong ty hang khong Vietnam kulikopelekea kuvunjika kwa "Hang hang khong Vietnam". Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Asia, Ulaya na Australia. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Asia kuliko kampuni yoyote barani Asia. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.
Marejeo
↑ 1.01.1"Airline Membership". International Air Transport Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-01. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2012.