Volodymyr Zelensky
| |
Rais | |
Tarehe ya kuzaliwa | 25 Januari 1978 |
Kazi | mwanasiasa, mwandishi na mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais |
Volodymyr Oleksandrovych Zelensky (alizaliwa 25 Januari 1978) ni mwanasiasa, mwandishi na mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais wa sasa (wa 6) wa Ukraine toka 20 Mei 2019.
Utoto na elimu
Volodymyr Zelenskyy alizaliwa katika familia ya Kiyahudi katika mji wa Kryvyi Rih, wakati ule sehemu ya Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamaa ya Ukraine.[1][2][3][4] Lugha yake ya kwanza ni Kirusi[5].
Baba yake Oleksandr Zelenskyy alikuwa profesa wa sayansi za kompyuta, mama yake alikuwa mhandisi.[6][7][8] Babu wa Zelensky alikuwa mwanajeshi katika Jeshi Jekundu la Kisovyeti wakazi wa Vita Kuu ya Pili akafikia cheo cha kanali.[9] Ndugu kadhaa wa familia waliuawa na Wajerumani kwa sababu ya kuwa Wayahudi katika Maangamizi Makuu ya Wayahudi.[10] Volodymyr aliendelea kusoma sheria lakini hakufanya kazi ya wakili baada ya kuhitimu.[2]
Mwigizaji na mtayarishaji
Tangu alipokuwa mwanafunzi alitumia nafasi nyingi ya kazi ya mwigizaji. Mwaka 1997 aliunda kundi la waigizaji wachechi la Kvartal 95.[11][12] Kuanzia mwaka 2003 kundi hilo lilitayarisha video kwa ajili ya runinga ya kitaifa ya Ukraine.[13]
Kati ya miaka 2015-2019, Kvartal 95 ilirusha mfululizo wa vipindi vya televisheni vilivyoitwa Servant of the People ambapo Zelensky aliigiza kama Rais wa Ukraine. Chama cha siasa Servant of the People kilianzishwa na wafanyakazi wa Kvartal 95 mnamo Machi 2018.[14][15]
Siasa
Tarehe 31 Desemba 2018, Zelensky alitangaza rasmi kuwa atagombea urais.[16] Miezi sita kabla ya kutangaza nia yake hiyo, alikuwa tayari kati ya wagombea waliokuwa wakiongoza kwenye kura za maoni.[17][15] Zelensky alipata asilimia 30 za kura kwenye awamu ya kwanza ya uchaguzi. Akaingia katika awamu ya pili pamoja na rais mtendaji Petro Poroshenko akashinda kwa kupata asilimia 72.33.[18]
Filamu
Mwaka | Jina | Nafasi |
---|---|---|
2009 | Love in the Big City | Igor |
2011 | Office Romance. Our Time | Anatoly Efremovich Novoseltsev |
2012 | Love in the Big City 2 | Igor |
2012 | Rzhevsky Versus Napoleon | Napoleon |
2012 | 8 First Dates | Nikita Sokolov |
2014 | Love in Vegas | I gor Zelensky |
2015 | 8 New Dates | Nikita Andreevich Sokolov |
Televisheni
Mwaka | Jina | Nafasi | Notes |
---|---|---|---|
2006 | Dancing with the Stars | mshindani | |
2008–2012 | Svaty | mtayarishaji | |
2015–2019 | Servant of the People | Vasyl Petrovych Holoborodko, mwalimu wa historia/Rais wa Ukraine |
Marejeo
- ↑ "ethnic Ukrainian father's farer's medal certificate" (kwa Kirusi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Juni 2020. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ 2.0 2.1 Зеленский Владимир | Руководитель проекта "Квартал-95" [Zelensky Vladimir | Project manager "Kvartal-95"]. Ligamedia (kwa Kirusi). 5 Juni 2018 [2011-10-28]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2022.
- ↑ Liphshiz, Cnaan (19 Machi 2019). "Jewish comic who plays Ukraine president on TV leads Ukraine's presidential race". The Times of Israel. OCLC 969749342. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 31 Machi 2019.
- ↑ Higgins, Andrew (24 Aprili 2019). "Ukraine's Newly Elected President Is Jewish. So Is Its Prime Minister. Not All Jews There Are Pleased". The New York Times. ISSN 0362-4331. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2019.
{cite news}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Talmazan, Yuliya (27 Februari 2022). "3 years ago Zelenskyy was a TV comedian. Now he's standing up to Putin's army". CNBC (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Februari 2022. Iliwekwa mnamo 3 Machi 2022.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Vladimir Zelensky told about his relationship with his parents Archived 7 Januari 2019 at the Wayback Machine by Television Service of News, Channel 1+1, 28 September 2017 (in Ukrainian)
- ↑ Zelensky Oleksandr Semenovich Archived 7 Januari 2019 at the Wayback Machine at the Kryvyi Rih State University of Economics and Technology official website (in Ukrainian)
- ↑ Volodymyr Zelensky Archived 7 Januari 2019 at the Wayback Machine interview by Dmitry Gordon at the official website, 26 December 2018 (in Russian)
- ↑ "Volodymyr Zelensky Was a Jewish Comedian. Now the World's Eyes Are on Him". The Detroit Jewish News (kwa American English). 28 Februari 2022. LCCN sn94088996. OCLC 32399051. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Machi 2022. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2022.
- ↑ "Zelenskiy: contribution of Ukrainians in victory over Nazism huge". Kyiv Post. Interfax-Ukraine. 9 Mei 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 Oktoba 2021. Iliwekwa mnamo 30 Septemba 2019.
{cite news}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Зеленский Владимир | Руководитель проекта "Квартал-95" [Zelensky Vladimir | Project manager "Kvartal-95"]. Ligamedia (kwa Kirusi). 5 Juni 2018 [2011-10-28]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2022.
- ↑ Vladimir Zelenskiy Archived 31 Machi 2019 at the Wayback Machine at the official Kvartal 95 website
- ↑ "Ukraine election: Comedian Zelensky 'wins presidency by landslide'". BBC News. 21 Aprili 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 21 Aprili 2019.
{cite news}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ (Kiukraine) Lawyer Zelensky has registered a new political party "Servant of the people", UNIAN (3 December 2017)
- ↑ 15.0 15.1 (Kiukraine) The boundary of a joke. How Zelensky prepares for the election Archived 8 Februari 2019 at the Wayback Machine, Ukrayinska Pravda (25 October 2018)
- ↑ "Comedian faces scrutiny over oligarch ties in Ukraine presidential race". Reuters. 1 Aprili 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 23 Aprili 2019.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Interfax-Ukraine (15 Julai 2018). "Support for Zelensky, Varkarchuk shows popular demand for new politicians". Kyiv Post.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ (in Ukrainian) "Central Election Commission of Ukraine – Ukrainian Presidential Election 2019 (run-off)". www.cvk.gov.ua. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 25 Aprili 2019.
{cite web}
: Cite has empty unknown parameter:|dead-url=
(help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
- Tovuti rasmi
- Kvartal 95 Ilihifadhiwa 31 Machi 2019 kwenye Wayback Machine.
- Volodymyr Zelensky at the Internet Movie Database
- Ze Time: Vladimir Zelensky. Who is he? by Frida Lensky
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Volodymyr Zelensky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |