Mkoa wa Gbêkê
auto
Mkoa wa Gbêkê | |
![]() katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Vallée du Bandama |
|
Imara: 2011 | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Jimbo | Vallée du Bandama |
Serikali[1] | |
- Prefect | Konin Aka |
- Rais wa Baraza | Jean Kouassi Abonouan |
Eneo[2] | |
- Jumla | 8 996 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,010,849 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Gbêkê (kwa Kifaransa: Région de Gbêkê) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katikati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Bouaké. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 1,010,849.
Gbêkê kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:
Marejeo
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Gbêkê" Ilihifadhiwa 5 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.