Uislamu nchini Afghanistan
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Afghanistan ulianza baada ya Waarabu wa Kiislamu kutwaa Afghanistan kuanzia karne ya 7 hadi ya 10, na wale waliosalia wakaja kusilimu rasmi mwishoni mwa karne ya 19.
Leo hii, Uislamu ni dini rasmi ya taifa la Afghanistan, kukiwa na kadirio la asilimia 99.8 ya idadi ya wakazi wote kuwa Waislamu. Kwenye asilimia 80-90 ni wafuasi wa dhehebu la Sunni, wanaofuata mafundisho ya Hanafi, wakati asilimia 7-20 wanaaminika kuwa wa Shia.
Tazama pia
Marejeo
Viungo vya nje
- Afghanistan at Flags of the World