Uislamu nchini Somalia
Uislamu kwa nchi |
Karibia watu wote wa Somalia ni Waislamu wanaofuata dhehebu la Sunni. Kwa zaidi ya miaka 1400, Uislamu umechukua nafasi kubwa katika utamaduni na jamii nzima ya Kisomali.[1]
Tazama pia
Marejeo
- This article incorporates public domain material from websites or documents of the Library of Congress Country Studies.
Viungo vya Nje
- Somali Qadiriya (Somali language) Ilihifadhiwa 11 Aprili 2022 kwenye Wayback Machine.
Kigezo:Somalia