Uislamu nchini Djibouti

Uislamu kwa nchi

Uislamu nchini Djibouti una historia ndefu, kwanza unaonekana katika Pembe la Afrika wakati wa zama za uhai wa mtume Muhammad. Leo hii, asilimia 94 ya wakazi wa Djibouti ambao wamekadiriwa kuwa 490,000 ni Sunni, wanaofuata mafundisho ya Imam Shafi'i. Baada ya uhuru, taifa lililokuwa linaanza kujijenga lilipitisha baadhi ya sheria zake zilizokuwa zinafungamana na sheria za Kiislamu.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo