Uislamu nchini Mali
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Mali ndiyo dini inayoongoza. Waislamu kwa sasa wanakadiriwa kuwa asilimia 90 ya jumla ya wakazi wote wa nchini Mali.
Sehemu kubwa ya Waislamu wa Mali ni wale wa dhehebu la Sunni wanaofuata mafundisho ya Imamu Maliki, wenye athira ya Usufii.[1]Matawi ya Ahmadiyya na Shia nayo yapo.[2]
Tazama pia
Tanbihi
- ↑ "International Religious Freedom Report 2005 - Mali". Bureau of Democracy, Human Rights, and Labor - US Department of State. Iliwekwa mnamo 2009-06-25.
- ↑ "The World's Muslims: Unity and Diversity" (PDF). Pew Forum on Religious & Public life. Agosti 9, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo Agosti 14, 2012.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)