Uislamu nchini Ethiopia
Uislamu kwa nchi |
Uislamu nchini Ethiopia ni dini ya pili kwa wingi wa waumini ambayo inafuatwa sana baada ya Ukristo.
Kwa mujibu wa sensa ya taifa ya mwaka wa 2007, kuna waumini zaidi ya milioni 25 (au 34% ya wakazi wote) ambao ni Waislamiu.[1]
Uislamu ni dini yenye kundi la watu wengi ambao ni Wasomali, Wafar, Wargobba, Waharari, Waberta, Walaba, na Wasilt'e; pia wafuasi wengi miongoni mwao ni Wagurage na Waoromo.
Historia
Imani hiyo iliwasili nchini Ethiopia mapema sana, muda mfupi baada ya Hijira.[2]
Tazama pia
Marejeo
- ↑ Population and Housing Census Report-Country - 2007, Central Statistical Agency, 2010-07 Ilihifadhiwa 10 Februari 2016 kwenye Wayback Machine., Table 3.3.
- ↑ J. Spencer Trimingham. 1952.
Viungo vya Nje
- The Muslim-Christian War (1528-1560) Ilihifadhiwa 30 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine.
- Ethiopian History and Civilization Archived 2013-02-21 at Archive.today
Jisomee
- Jon Abbink, "An Historical-Anthropological Approach to Islam in Ethiopia: Issues of Identity and Politics", Journal of African Cultural Studies[1], 11 (1998), pp. 109–124
- Dickson, David, "Political Islam in Sub-Saharan Africa: The Need for a new Research and Diplomatic Agenda" Ilihifadhiwa 11 Februari 2009 kwenye Wayback Machine., United States Institute of Peace, Special Report 140, May 2005.
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |