Bolu
Bolu (Kigiriki: Βιθύνιον /Vithinion, Kilatini Bithynium au Claudiopolis) ni mji ulipo nchini Uturuki, na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Bolu. Idadi ya wakazi wa mji huo wanafikia 84,565 (kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2000).
Bolu ipo katika njia ya zamani itokayo mjini Istanbul hadi Ankara, ambayo inapanda kuelekea juu ya Mlima Bolu, wakati njia mpya ya gari imepita chini ya Pango la Mlima Bolu.
Viungo vya nje
- Izzet Baysal University official website
- Informations about Bolu city. Ilihifadhiwa 12 Mei 2008 kwenye Wayback Machine.
- Anatolia.com - Bolu Ilihifadhiwa 4 Agosti 2020 kwenye Wayback Machine.
- Pictures of the city
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bolu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |