Gümüşhane
Gümüşhane ni jina la kutaja mji mkuu wa Jimbo la Gümüşhane katika maeneo ya Bahari Nyeusi huko nchnii Uturuki. Mji umelaliana na Ziwa Harşit, kwenye mapolomoko yenye takriban futi 5,000 (1,500 m). Takriban maili 40 kutoka kusini-magharibi mwa mji wa Trabzon.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 46,656 ambao wengine 30,270 wanaishi katikati ya mji wa Gümüşhane.[1][2] Mji una eneo la kilomita za mraba zipatazo 1789,[3] na mapolomoko 1227 m.
Jina
Jina linamaana ya "jumba la fedha" kwa Kituruki na linatokana na migodi ya fedha iliyokaribu nayo. Wakati wa zama za Byzantine eneo waliokuwa wakilimiliki lilikuwa likiitwa Chaldia. Baada ya Ufufuko wa Wagiriki mnamo miaka ya 1850, mji ulikuwa ukiitwa Argyròpolis kwa Kigiriki (mji wa fedha), kwa mali zilizopo mjini hapo.
Jiografia
Watu mashuhuri
- Mahmut Oltan Sungurlu, Waziri wa Sheria na Ulinzi wa Uturuki.
Vyanzo
- ↑ Turkish Statistical Institute. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (kwa Turkish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (XLS) mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-12-01.
{cite web}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-12-01.
{cite web}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Statoids. "Statistical information on districts of Turkey" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-12-01.
{cite web}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Marejeo
- Falling Rain Genomics, Inc. "Geographical information on Gümüşhane, Turkey" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2008-12-01.
{cite web}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - Turkish Ministry of Culture and Tourism. "Mosques, Mausoleums and Churches in Gümüşhane" (kwa English). Iliwekwa mnamo 2009-03-05.
{cite web}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
Viungo vya Nje
- media kuhusu Gümüşhane Province pa Wikimedia Commons
- Governor's official website (Kituruki)
- Municipality's official website (Kituruki)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gümüşhane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |