Burdur
Burdur (zamani ulikuwa ukiitwa Buldur), ni mji ulipo mjini kusini-magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mjii mkuu wa Mkoa wa Burdur katika Uturuki. Mji upo katika pwani ya Ziwa Burdur. Mji unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 67,097 kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2007.[1]
Marejeo
- ↑ "World Gazetteer - Information about Burdur". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-08. Iliwekwa mnamo 2008-11-01..
Viungo vya nje
- Governor's official website
- Burdur'da Dövizle Askerlik Ilihifadhiwa 18 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
- Dövizle askerlik için hazırlık cetveli Ilihifadhiwa 24 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Burdur Yerel Haberleri ' Burdur Local Newspapers' Ilihifadhiwa 23 Oktoba 2011 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Burdur kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |