Aksaray
Aksaray ni mji uliopo Anatolia ya Kati nchini Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Aksaray.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi waishio katika wilaya hiyo ni 236,560 ambao wengine 129,949 wanaishi katika mji wa Aksaray.[1][2]
Wilaya imechukua eneo la km 4,589 (na 1,772 sq mi),[3] na wastani wa mapolomoko ni m 980 (na ft 3,215), na kilele kirefu cha Mlima Hasan mnamo 3,253 m (na ft 10,673).
Marejeo
- ↑ Taasisi ya Takwimu ya Watu ya Uturuki [in Kiingereza]. "Census 2000, Key statistics for urban areas of Turkey" (kwa Turkish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (XLS) mnamo 2007-07-22. Iliwekwa mnamo 2008-04-02.
{cite web}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ GeoHive. "Statistical information on Turkey's administrative units". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-18. Iliwekwa mnamo 2008-04-02.
- ↑ Statoids. "Statistical information on districts of Turkey". Iliwekwa mnamo 2008-04-12.
Maelezo
- Stierlin, Henry. 1998. Turkey: From the Selçuks to the Ottomans. New York: Taschen, 240.
- Sultan Han Aksaray
- Yavuz, Aysil Tükel. 1997. The Concepts that Shape Anatolian Seljuq Caravanserais. In Muqarnas XIV: An Annual on the Visual Culture of the Islamic World. Gülru Necipoglu (ed). Leiden: E.J. Brill, 80-95 (download Ilihifadhiwa 13 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.)
- Falling Rain Genomics, Inc. "Geographical information on Aksaray, Turkey". Iliwekwa mnamo 2008-04-02.
- (Kituruki) Wizara ya Utalii na Utamaduni ya Uturuki [in Kiingereza]. "General information on Aksaray, Turkey" (kwa Turkish). Iliwekwa mnamo 2008-04-02.
{cite web}
: CS1 maint: unrecognized language (link) - District governor's official website (Kituruki) / (Kiingereza) / (Kifaransa)
Viungo vya nje
- District governor's official website (Kituruki) / (Kiingereza) / (Kifaransa)
- District municipality's official website (Kituruki)
- Aksaray Historical Place Photos Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Aksaray Weather Forecast Information Ilihifadhiwa 24 Novemba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Maps of Aksaray Ilihifadhiwa 25 Februari 2007 kwenye Wayback Machine.
- Aksaray Ilihifadhiwa 23 Julai 2008 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
- Aksaray News Ilihifadhiwa 14 Septemba 2008 kwenye Wayback Machine. (Kituruki)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Aksaray kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |