Uislamu nchini Gambia
Uislamu kwa nchi |
Uislamu ni dini yenye wafuasi wengi nchini Gambia, ikiwa na asilimia 95.3 za idadi ya wakazi wote wa nchi hiyo.[1] Sehemu kubwa ya Waislamu wa Gambia ni wa dhehebu la Sunni wanaofuata mwongozo wa Maliki, wenye athira pia ya Usufi. Vilevile kuna nyendo za Wahmadiyya.[2]
Uislamu nchini humo unasifika kwa kushirikiana na makundi mengine ya dini. Baadhi ya makundi hayo ni pamoja na Kanisa Katoliki, Uprotestanti na Dini asilia za Kiafrika.
Tazama pia
- Dini nchini Gambia
Marejeo
- ↑ http://features.pewforum.org/muslim-population/
- ↑ "Association of Religious Data Archives". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-10. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2014.
{cite web}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |