Wilaya ya Sandégué
auto
Wilaya ya Sandégué | |
Eneo la Wilaya ya Sandégué. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Zanzan |
Mkoa | Gontougo |
Serikali[1] | |
- Prefect | N'Guessan Konan Edouard Siba |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 56,215 |
GMT | (UTC+0) |
Wilaya ya Sandégué (kwa Kifaransa: département deSandégué) ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Gontougo ulioko Kaskazini mashariki mwa Cote d'Ivoire.
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 56,215.
Makao makuu ya eneo hilo ni Sandégué.
Wilaya ya Sandégué sasa imegawanywa katika kata zifuatazo:
Marejeo
- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.