Homa Bay
Homa Bay | |
Mahali pa mji wa Homa Bay katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°31′0″S 34°27′0″E / 0.51667°S 34.45000°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Homa Bay |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 59,844 |
Tovuti: www.homabaymunicipalcouncil.org |
Homa Bay ni mji wa Kenya magharibi, makao makuu ya kaunti ya Homa Bay.
Wakazi walikuwa 59,844 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].
Tazama pia
Tanbihi
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
Viungo vya nje
- (Kiingereza) Tovuti rasmi Archived 28 Machi 2010 at the Wayback Machine.