Wajir
Wajir | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Wajir |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 82,800 |
Wajir ni mji wa Kenya kaskazini-mashariki ambao ni makao makuu ya Kaunti ya Wajir.
Wakazi walikuwa 82,800 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1]. Wengi wao ni Wasomali.
Tazama pia
Tanbihi
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.