Taveta
Taveta | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Taita-Taveta |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 67 505 |
Taveta ni mji wa Kenya kusini mashariki, katika kaunti ya Taita-Taveta.
Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 67,505[1].[2].
Tazama pia
Tanbihi
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.
- ↑ https://www.knbs.or.ke/?wpdmpro=2019-kenya-population-and-housing-census-volume-ii-distribution-of-population-by-administrative-units