Lodwar





Lodwar ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Turkana.
Wakati wa sensa ya mwaka 2009, mji ulikuwa na wakazi 48,316[1].
Lodwar ina mito miwili na kiwanja cha ndege ndogo. Mto mkubwa ni mto Turkwel.
Watalii wanasafiri Lodwar kuona pahali ya masalia ya zamadamu (kama kijana wa Turkana, aliyefumwa na Kamoya Kimeu, Meave Leakey na Richard Leakey) na kupumzika karibu na ziwa la Turkana.
Tanbihi
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.