Kakuma
Kakuma ni mji wa Kenya, kata ya kaunti ya Turkana, eneo bunge la Turkana Magharibi[1]..
Wakazi walikuwa 65,814 wakati wa sensa ya mwaka 2009[2], wengi wakiwa wakimbizi.
Tanbihi
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.