Kaunti ya Garissa
Kaunti ya Garissa | |
---|---|
Kaunti | |
![]() Msikiti wa Jamia, Garissa | |
Kaulimbiu: "" | |
![]() Kaunti ya Garissa katika Kenya | |
Coordinates: 0°27′25″S 39°39′30″E / 0.45694°S 39.65833°E | |
Nchi | ![]() |
Nambari | 7 |
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 |
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Kaskazini Mashariki |
Mji mkuu | Garissa |
Miji mingine | Dadaab, Hagadera, Ijara |
Serikali | |
Gavana | Ali Bunow Korane |
Naibu wa Gavana | Abdi Muhumed Agane |
Seneta | Mohamed Yusuf Haji |
Mwakilishi wa wanawake | Anab Mohamed Gure |
Bunge | Bunge la Kaunti ya Garissa |
Wawakilishi Wadi | 30 |
Maeneo bunge | 6 |
Eneo | |
Jumla | km2 44 736 (sq mi 17 273) |
Idadi ya Watu | |
Jumla | 841,353[1]. |
Msongamano | 19 /km² |
Majira ya Saa | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) |
Tovuti garissa.go.ke |
Kaunti ya Garissa ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 841,353 katika eneo la km2 44,736, msongamano ukiwa hivyo wa watu 19 kwa kilometa mraba[2]..
Kaunti ya Garissa ni makazi ya wakimbizi zaidi ya 260,000. Kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyo katika kaunti hii ndio kubwa zaidi Kenya.
Makao makuu yako Garissa.
Utawala
Kaunti ya Garissa ina maeneo yafuatayo ya utawala[3]:
Eneo bunge | Kata |
---|---|
Garissa Mjini | Waberi, Galbet, Garissa Mjini, Iftin |
Balambala | Balambala, Danyere, Jarajara, Saka, Sankuri |
Lagdera | Modogashe, Bename, Goreale, Maalamin, Sabena, Baraki |
Dadaab | Dertu, Dadaab, Labasigale, Damajale, Liboi, Abakaile |
Fafi | Bura, Dekaharia, Jarajila, Fafi, Nanighi |
Ijara | Hulugho, Sangailu, Ijara, Masalani |
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [4]
- Balambala 32,257
- Dadaab 185,252
- Fafi 134,040
- Garissa 163,914
- Hulugho 133,984
- Ijara 141,591
- Lagdera 50,315
Tazama pia
Marejeo
- ↑ www.knbs.or.ke
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-04. Iliwekwa mnamo 2021-09-04.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.