Kakamega, Kenya
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e6/CryingStone.jpg/280px-CryingStone.jpg)
Mji wa Kakamega | |
Mahali pa mji wa Kakamega katika Kenya |
|
Majiranukta: 0°17′0″N 34°45′0″E / 0.28333°N 34.75000°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Kakamega |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 91,768 |
Kakamega ni mji ulio makao makuu ya kaunti ya Kakamega nchini Kenya.
Wakazi walikuwa 91,768 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1]. Wenyeji ni hasa Waluhya.
Kakamega iko takriban kilomita 100 kaskazini kwa Kisumu.
Tangu mwaka 2006 chuo cha ufundi Kakamega kilipandishwa cheo kuwa Chuo Kikuu cha Malinde Musiro (Masinde Muliro University of Science and Technology).
Tazama pia
Tanbihi
- ↑ Sensa ya Kenya 2009 Ilihifadhiwa 9 Januari 2019 kwenye Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.