Loiyangalani
Loiyangalani | |
Mahali pa mji wa Loiyangalani katika Kenya |
|
Majiranukta: 2°45′0″N 36°34′0″E / 2.75000°N 36.56667°E | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Marsabit |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,000 |
Loiyangalani ni mji wa Kenya kaskazini katika kaunti ya Marsabit. Pia ni kata ya eneo bunge la Laisamis[1].
Tanbihi
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine